Hii ndio orodha ya awali ya wasanii 48 watakaoperform katika Tamasha la Wireless London, Cardi B, Migos na Future ndani, Waafrika watoswa
Katika Tamasha kubwa ambalo linafanyikila mwaka katika jiji la London linalojulikana kama Wireless Festival ambalo hufanyika kila ifikapo mwezi wa 7 kuanzia tarehe 5-7 limedhibitishwa kuwepo tena.
Katika tamasha hilo tayari orodha ya awali ya wasanii watakao perform kwenye tamasha hilo na katika orodha hiyo hakuna msanii yeyote kutoka Afrika licha ya kuwepo msanii mwenye asili ya Nigeria ambaye makazi yake ni London nchini Uingereza.
Imezeleka kuwa baadhi ya wasanii kutokaAfrika kuwepo na hasa Wizkid pamoja na Davido ambao hata mwaka uliopita wizkid alikuwemo kwenye orodha hiyo, labda katika orodha ya pili kwa sababu wameandika itaendelea huwenda wakepo.
Orodha yeyewe ndio hii hapa:-
Wireless Festival 2019 Line Up
Friday 5th July 2019
Cardi B – CO-HEADLINER
Migos – CO-HEADLINER
Tory Lanez
Ella Mai
Tyga
Lil Skies
Bugzy Malone
Fredo
Maleek Berry
Headie One
IAMDDB
Maleek Berry
NSG
B Young
Saturday 6th July 2019
Travis Scott – HEADLINER
Future (Special Guest)
Lil Uzi Vert
Young Thug
Stefflon Don
Juice WRLD
Trippie Redd
Unknown T
Sheck Wes
Saweetie
Ambush Buzzworl
M Huncho
Steel Bangelz & Guests
Cadet
Digdat
Deno Driz
Sunday 7th July 2019
ASAP Rocky – HEADLINER
Rae Sremmurd
AJ Tracey
Lil Baby
Gunna
Not3s
Rich the Kid
Ski Mask The Slump God
Denzel Curry
D Block Europe
Loski
JID
Flohio
Russ Splash
Flohio
Lady Sanity
Plus more to be announced.
Hosted by Capital XTRA’s DJ Semtex / Manny Norte / Tim Westwood / Yinka
By Ally Juma.