Burudani
Video: SZIFF 2019 watangaza nominee, Duma chali, Gabo, Madebe na wengine wapeta
Jaji Mkuu wa tuzo za SZIFF2019, Martin Mhando akieleza sababu za baadhi ya wasanii ambao walitarajiwa kuonekana kwenye vingele vya tuzo hizo ambazo kilele chake kutakiwa February 23 mwaka huu.