Habari

Mama afariki baada ya kujirusha kwenye gari la wagonjwa kisa kifo cha mtoto wake

MWANAMKE Naiso Leslie (26) amefariki baada ya kuruka kutoka kwenye gari la wagonjwa baada ya mtoto wake Solomon Lesie (2) kufariki akiwa njiani kwenda Hospitali ya Rufaa ya Kajiado.

Mvulana huyo alikuwa katika Kituo cha Afya cha Bisil kabla ya kupewa rufaa ya kuhamishiwa katika hospitali hiyo ya rufaa. Naiso alifungua mlango wa nyuma wa gari la wagonjwa na kuruka, akapata majeraha yaliyomsababishia kifo.

 

Alifanya hivyo baada ya kuona hali ya mtoto wake inazidi kuwa mbaya. Miili ya wawili hao imehifadhiwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Kajiado, wakati gari la wagonjwa lilipelekwa kwenye Kituo Kikuu cha Polisi cha Kajiado kwa uchunguzi zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents