Mahojiano

Darassa azindua album yake ‘Slave become A king, atoa misaada kwa watoto yatima (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Darassa usiku w akuamkia leo amezindua album yake mpya yenye nyimbo 21 inayojuikana kwa jina la SLAVE BECOME A KING.

Katika album hiyo ameshirikisha wasanii tofauti tofauti wengine kutoka nje ya nchi na wengine ndani ya nchi. wakati awa tukio hilo Darassa ametoa misaada kwa watoto yatima.

Darassa ameeleza haya wakati anazindua album yake:-

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents