Michezo

Dr Kumbuka: Kuanzia leo mimi nahamia Simba, nitakuwa chawa gegedu (+Video)

 

Msanii na Mtangazaji wa Efm Dr. Kumbuka leo ametangazwa rasmi Simba kama shabiki mpya baada ya kuhamia akitokea Yanga. Ndani ya Siku mbili tayari wasanii wawili wamehamia Simba wakitokea Yanga wa kwanza ni Dulla Makbila na wa pili ni Dr Kumbuka.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents