Michezo

Manchester United yapeleka furaha Etihad

Manchester City hapo jana usiku imejitangazia rasmi kuwa Mabingwa wa Ligi Kuu nchini Uingereza baada ya wapinzani wao wa karibu Manchester United kukubali kipigo kutoka kwa Leicester City.

Man City crowned 2020-21 Premier League champions | Football News | Sky Sports

United ilikubali kichapo cha jumla ya magoli 2 – 0 kutoka kwa Leicester City hivyo kuwafanya City kutangaza ubingwa wakiwa mbele kwa alama 10 nyuma ya United wanaoshika nafasi ya pili.

Kutokana na msimamo ulivyo kwa sasa Manchester City inaongoza ligi kwa kuwa na point 80, michezo 35 wakati United wana alama 70 na michezo yao 35 nafasi ya tatu ikichukuliwa na Leicester City point 66 michezo 36 na ya nne ikienda kwa Chelsea alama 64 na michezo waliyocheza ikiwa ni 35.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents