Croatia wanafanikiwa kushika nafasi ya tatu katika michuano ya Kombe la Dunia baada ya kuwafunga Morocco goli 2-1.