Mchezaji wa Klabu ya Yanga, Denis Nkane amewaahidi mashabiki wa timu hiyo na Taifa kwa ujumla kulipigania Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya USM Alger siku ya Jumapili.