Africa Now Radio: Davido, Marioo, Nasty C, Tiwa Savage

Mtangazaji na mkali wa TV na Radio kutokea South Africa Luthando Shosha a.k.a LootLove rasmi ataanza kushikiria uskani show kali ya African Now kupitia Apple Music 1, kuanzia june 13.

Africa Now; Ni show kali ulimwenguni kupitia Apple Music radio, hivi karibuni imetimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake; ndani ya kipindi cha mwaka mmoja imewaleta pamoja ma-star wakubwa na wakali barani Africa kama vile DAVIDO, NASTY C, MARIOO, RAYVANNY, TIWA SAVAGE na wengine wengi.

“Hii ni Zaidi ya furaha kwangu, kuw-host Africa Now ni show kubwa ya radio barani Africa” amesema LootLove.

African Now Radio na LootLove itakuwa ikiruka kila wiki, siku ya juma pili kuanzia jun 13, 2pm Lagos/ London/ 3pm Johannesburg/ Paris/ 6am LA/ 9am NYC on Apple Music 1

DAVIDO, MARIOO, NASTY C, TIWA SAVAGE.

Mtangazaji na mkali wa TV na Radio kutokea South Africa Luthando Shosha a.k.a LootLove rasmi ataanza kushikiria uskani show kali ya African Now kupitia Apple Music 1, kuanzia june 13.

Africa Now; Ni show kali ulimwenguni kupitia Apple Music radio, hivi karibuni imetimiza mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwake; ndani ya kipindi cha mwaka mmoja imewaleta pamoja ma-star wakubwa na wakali barani Africa kama vile DAVIDO, NASTY C, MARIOO, RAYVANNY, TIWA SAVAGE na wengine wengi.

“Hii ni Zaidi ya furaha kwangu, kuw-host Africa Now ni show kubwa ya radio barani Africa” amesema LootLove.

African Now Radio na LootLove itakuwa ikiruka kila wiki, siku ya juma pili kuanzia jun 13, 2pm Lagos/ London/ 3pm Johannesburg/ Paris/ 6am LA/ 9am NYC on Apple Music 1.

Related Articles

Back to top button