Burudani

Alikiba atua L.A kushoot video mpya, amtumia choreographer wa Chris Brown, Rihanna, Nicki Minaj na mastaa wengine

Alikiba yupo jijini Los Angeles, Marekani alikoenda kushoot video ya wimbo wake mpya ‘Lupela.’

12224510_1076638059047429_2140552011_n
Alikiba akiwa na Oththan Burnside (anayeonesha alama ya peace) na dancers kwenye set ya video hiyo jijini Los Angeles, California

Kiba anamtumia choreographer maarufu zaidi nchini humo, Oththan Burnside. Amepost video kwenye Instagram na kuandika, “In L.A And We Are Getting Ready For My Upcoming New Video . In The Makeup Room With My Leading Lady @aliya_janell #kingkiba.”
ALIKIBA KUFANYA KAZI NA ‘CHOREOGRAPHER’ WA RIHANNA, JUSTIN BIEBER, CIARA, NICKI MINAJ, CHRIS BROWN, NE-YO ETC!

12224581_1515849052072580_297854157_n
Alikiba akiwa na video queen, Aliya Janell

Mrembo atakayetumika kwenye video hiyo anaitwa Aliya Janell ambaye amesema ni heshima kubwa kufanya kazi na Alikiba.

11917768_909457925806074_2034597923_n

“Such a fun shoot today with @officialalikiba for his newest Music Video “Lupela,” ameandika Aliya kwenye Instagram.

“This was the first time I played an artists “Leading Lady” and it was crazy getting all of your comments out there from East Africa, I read every single one of them! We all worked so hard and I promise you guys won’t be disappointed! and #KingKiba I became great homies too! Hopefully I’ll be able to visit out there soon and smoke some shisha! [kissing] [dash] [joy] shoutout to one of the best in the game @otheezycreatedit for giving me the opportunity and my #MSAFAM as well!! And…the week isn’t even close to over! #shoutouttoeveryonein #TANZANIA.”

Naye Oththan Burnside amepost picha ya Alikiba na kuandika: My life. #Dayonset #OtheezyCreatedit #OtheezyStyledit #Choreographer #Stylist #KingKiba @officialalikiba Photo cred: @craigstuarteisenberg you rock bro! [hearts] [hearts] #MSAFAMBAM #ThankU #Youguysrock muwahhh @brandonlouisla @justjennmsa.”

11262715_974913289232700_897703213_n
Alikiba kama Michael Jackson

11925915_709643532503173_288612782_n
Crew ikijipanga kufanya maajabu

Hivi karibuni Kiba na Christian Bella walishoot video ya collabo yao, Nagharamia nchini Afrika Kusini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents