Burudani

Aliyemchapa kofi Justin Timberlake akamatwa

Mtu mmoja ambaye anadaiwa kumzaba kofi msanii Justin Timberlake katika mchuano wa gofu katika Ziwa Tahoe huko Nevada amekamatwa.

369A82BF00000578-3708024-image-m-152_1469538653135

Katika video iliopatikana na mtandao wa TMZ,Justin anaonekana kupita katikati ya watu kabla ya mkono wa mtu kuonekana ukimgusa upande mmoja wa uso wake.

Hii ndo video yenyewe
https://youtu.be/Bq_nn0aiQU0

Justin aligeuka na kumuuliza, ndugu mbona unafanya kitendo kama hicho?

Walinzi wake walimvuta msanii huyo mwenye umri wa miaka 35 lakini baadaye akaonekana akizungumza na mshukiwa huyo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents