Burudani

Ariana Grande ampiku Taylor Swift kwenye nafasi ya 2 kuwa na followers wengi Instagram

Baada ya kutemwa na Selena Gomez kwenye nafasi ya kwanza kama staa mwenye followers wengi duniani kwenye mtandao wa Instagram, Taylor Swift amesogezwa tena nyuma na Ariana Grande mpaka nafasi ya tatu.

Ariana kwa sasa anashikilia nafasi hiyo akiwa na followers milioni 99.3 kwenye mtandao huo huku Taylor akishika nafasi ya tatu akiwa na followers milioni 98.7 akifuatiwa na Beyonce pamoja na Kim Kardashian.

Selena anaendelea kukalia kiti hicho akiwa na followers milioni 112. Nafasi ya sita kwenye orodha hiyo inashikiliwa na mchezaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo mwenye followers milioni 93.3.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents