Bongo Movie

Audio: Maongezi ya Duma akijisifu kwa Agness yavuja

Bado picha linaendelea, ikiwa ni siku cheche toka muigizaji wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ Daudi Michael maarufu kama Duma kumtambia muigizaji Gabo Zigamba kuwa ana demu mkali, sauti ya maongezi kati ya muigizaji huyo na mrembo Agness zimevuja mtandaoni.

Sauti hiyo iliyovuja imesikika Duma akisijisifu kumpenda kwa dhati mrembo huyo, hata hivyo kumekuwa na stori kuwa Duma anatafuta kiki katika tasnia ya burudani Bongo kwa mtumia mrembo huyo ambaye ni maarufu kwa kupiga picha  za utupu mtandaoni.

Juhudu za kumtafuta Duma zinaendela licha ya kuwa zimekwama baada ya mtu wake wa karibu kudai kuwa Duma yupo nchini Kenya kikazi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents