Mitindo

Calisah atoa lawama kwa serikali baada ya kushinda taji la Mister International Africa Nigeria (Audio)

Mwanamitindo wa kiume Tanzania, Callisah baada ya kuibuka na mshindi wa Mister Africa International 2018 katika mashindano yaliyofanyika nchini Nigeria, amefunguka kwa kutoa lawama kwa serikali kwa madai hakupata ushirikianao kutoka kwa mamlaka za serikali.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents