Burudani

Country Boy kudondosha albamu tatu mwaka huu

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Country Boy amefunguka kuhusu mipango yake ya kutoa albamu kwa mwaka huu.


Rapper huyo ameiambia XXL ya Clouds Fm kuwa kwa sasa yupo tayari kutoa albamu kutokana na stock aliyopo.

“Kwa sababu tunastock nyingi sana tuna mpango wa kutoa albamu mbili au tatu mwaka huu, S2kizzy anamalizia tu vitu vyake,” amesema meneja wa msanii huyo Petit Man.

“Nyimbo ambazo nimetumiwa tu kwenye simu ni 48, sasa albamu ngapi hizo?,” amesisitiza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents