Burudani

Daddy Lessons wa Beyonce watoswa na kamati ya muziki wa country ya Grammy

Pamoja na Beyoncé kuwa ameongoza kwa kutajwa zaidi kuwania tuzo za Grammy mwakani, kamati ya muziki wa country ya tuzo hizo, iliukataa wimbo wake wa mahadhi hayo, Daddy Lessons, uliopo kwenye album yake, Lemonade.

beyonce-all-night

Wimbo huo uliwasilishwa kuwania kipengele cha Best Country Song na Best Country Solo Performance.

Siri hiyo imesambazwa na chanzo kisichojulikana baada ya muimbaji huyo kusababisha utata kufuatia kutumbuiza kwenye tuzo za muziki huo, CMA hivi karibuni.

Pamoja na hivyo, Beyoncé ni msanii wa kike aliyetajwa kuwania mara nyingi zaidi kwenye tuzo hizo, 62 na kushinda mara 20.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents