Burudani

Diamond alionyesha jengo linalodaiwa kuwa ndio Wasafi Tower, lilipofikia kukamilika (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB na Wasafi media kwa ujumla Diamond Platnumz ametumia ukurasa wake wa Instgram kuonyesha mjengo wa ghorofa takribani 12, jengo linalodaiwa kuwa ndio Wasafi Tower.

Ikumbukwe siku z ahivi karibuni Diamond alisema kuwa ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 90 na amejaribu ku share picha hizo zikionyesha jengo hilo refu.

Mpaka sasa hivi badoa haijathibitishwa kuwa mjengo huo upo maeneo gani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents