Burudani
Diamond kuliamsha dude kesho!
Ni kweli Diamond anataka kuachia ngoma mpya Jumatano hii? Kama haufahamu hilo basi kaa tayari kulipokea hilo.
Msanii huyo amekuwa akiteka vichwa vya habari kila anapokaribia kuachia ngoma zake mpya kutokana na style anazotumia. Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameahidi kuachia wimbo wake huo siku ya kesho.
“@sallam_sk punguza Hasira ?… Xxl ya @Cloudfmtz na @Bdozen saba hadi Kumi Kamili Kesho…..☺,” ameandika Diamond katika mtandao huo.
Na Laila Sued