Burudani

EFM kujenga madarasa ya shule za sekondari Kinondoni

Kituo cha redio cha EFM cha jijini Dar es Salaam, kimekabidhiwa michoro ya ramani ya madarasa ya sekondari wilaya ya Kinondoni kata ya Kimara kwaajili ya kuanza kuyajenga kama ilivyoahidi.

efm 2
Mkurugenzi Mkuu wa Efm Radio, Francis Siza akipokea ramani ya michoro ya madarasa kutoka kwa Afisa elimu wa wilaya ya Kinondoni Bwana Rogers J. Shemwelekwa

Makabidhiano yaliyofanyika katika ofisi za Kituo hicho cha Utangazaji kupitia masafa ya 93.7 Jumatatu hii.

EFM
Afisa elimu wa wilaya ya Kinondoni Rogers J. Shemwelekwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Efm baada ya makabidhiano ya michoro ya madarasa.Kushoto ni Mkurungezi mkuu wa Efm Radio Fransis Siza, (kulia) ni Mhariri Mkuu Scholastica Mazula na meneja mahusiano na mawasiliano Denis Ssebo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents