Michezo
Eriksen asaini mkataba mpya Tottenham Hotspur
Mchezaji kiungo wa timu ya taifa Denmark, Christian Eriksen,24, amesaini mkataba mpya wa miaka minne katika klabu ya Tottenham Hotspurs.
Manager Mauricio Pochettino akiwa na Christian Eriksen
Mchezaji huyo atakuwa na klabu hiyo hadi 2020 na atakuwa akilipwa £70,000 kwa wiki.