Diamond Platnumz

Exclusive: Press Conference ya MTV MAMA, Durban, Mafikizolo watangaza kumshirikisha Diamond (Picha)

Diamond Platnumz, Trey Songz, Miguel Mafikizolo, Donald na wasanii wengine, Ijumaa hii waliungana na timu ya MTV Base kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Durban, Afrika Kusini.

4K0A0027

Katika mkutano huo, wasanii hao walizungumza masuala mbalimbali kuhusiana na nia ya wao kuungana pamoja na kushirikiana ili kuupeleka muziki wa Afrika mbele zaidi. Katika mkutano huo ambao Bongo5 ilihudhuria jijini humo, Mafikizolo walithibitisha kuzungumza na Diamond kuhusu kufanya kazi pamoja. Hizi ni picha za tukio hilo.

Trey Songz
Trey Songz

Trey Songz akiwa na Alex Okosi
Trey Songz akiwa na Alex Okosi

Trey Songz akiingia
Trey Songz akiingia

Tiwa Savage akihojiwa na mwandishi wa SABC
Tiwa Savage akihojiwa na mwandishi wa SABC

Sarkodie
Rapper wa Ghana, Sarkodie

Picha ya pamoja ya Diamond, Mafikizolo na Donald
Picha ya pamoja ya Diamond, Mafikizolo na Donald

Oskido
Oskido

Mwandishi wa habari akiuliza swali
Mwandishi wa habari akiuliza swali

Muda wa selfie

Mtangazaji wa MTV Base, Sizwe
Mtangazaji wa MTV Base, Sizwe

Mtangazaji wa MTV Base, Nomuzi Mabena akiuliza swali
Mtangazaji wa MTV Base, Nomuzi Mabena akiuliza swali

Mtangazaji wa East Africa Radio, Sam Misago
Mtangazaji wa East Africa Radio, Sam Misago

Mtangazaji wa Clouds TV, Shadee akiwa na Donald
Mtangazaji wa Clouds TV, Shadee akiwa na Donald

Mmoja wa waandishi wa habari akiuliza swali
Mmoja wa waandishi wa habari akiuliza swali

Miguel akiingia kwenye press conference
Miguel akiingia kwenye press conference

Makamu mkuu wa Rais wa MTV Africa Alex Okosi, kushoto akiongea na waandishi wa habari
Makamu mkuu wa Rais wa MTV Africa Alex Okosi, kushoto akiongea na waandishi wa habari

Flavour akihojiwa
Flavour akihojiwa

Batu Tale, Diamond na Salam
Batu Tale, Diamond na Salam

4K0A9998

4K0A9997

4K0A9994

4K0A9992

4K0A9990

4K0A9987

4K0A9984

4K0A9980

4K0A9976

4K0A9975

4K0A9972

4K0A9970

4K0A9969

4K0A9964

4K0A9962

4K0A9959

4K0A9952

4K0A9951

4K0A9945

4K0A9940

4K0A9939

4K0A9920

4K0A0091

4K0A0088

4K0A0077

4K0A0065

4K0A0050

4K0A0045

4K0A0030

4K0A0027

4K0A0024

4K0A0022

4K0A0016

4K0A0013

4K0A0012

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents