Burudani

Filamu ya Noah yazuiliwa kuoneshwa nchini China

Mamlaka za nchini China zimegoma kuruhusu kuzinduliwa kwa filamu ya Noah iliyochezwa na Russell Crowe, ambayo tayari imepigwa marufuku katika nchi za kiislamu.

b6861bdd0fbc4d4399ed571dd120ff88

Filamu hiyo imekatwa kuoneshwa katika nchi za Bahrain, Indonesia, Malaysia, Qatar na kwingine. Hata hivyo inasemekana kuwa kukatazwa kuzinduliwa kwa filamu hiyo nchini China ni kwasababu za kibiashara kwakuwa filamu zingine kama Godzilla zitazinduliwa hivi karibuni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents