Siasa

Halima mdee: Mimi ni CHADEMA na ntaendelea kuwa mwana CHADEMA

Akiongea na wana habari baada ya kujulikana hatma yao Halima mdee alisema kuwa “Mimi ni CHADEMA, na ninaendelea kuwa mwana  @ChademaTz vizuri tu.

Ila kilichofanyika kwenye Baraza Kuu ni Uhuni, nao wanajua hata @freemanmbowetz pia anajua” kauli ya @halimamdee baada ya Baraza Kuu la Chadema kupitisha uamuzi wa kuwafukuza chama.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents