BurudaniUncategorized

Harry Kane amvisha pete ya uchumba mzazi mwenzie

Mshambuliaji wa Klabu ya Tottenham Hotspur, Harry Kane amemvisha pete ya uchumba mrembo wake Kate Goodland tayari kwa maandalizi ya kufunga ndoa siku za usoni .

Yummy mummy: Kate showcased her trim post baby body in skinny jeans and a white t-shirt emblazoned with a floral crown 
Harry Kane akiwa na mchumba wake na mtoto wao.

 

Kane kupitia ukurasa wake wa Twitter amethibitisha hilo kwa kuweka picha ya kimwana huyo na kuandika “Kweli amekubali”.

Kane amemvisha mrembo huyo pete ya uchumba akiwa mapumzikoni kwenye visiwa vya Bahamas.

Mrembo Kate Goodland na Harry Kane tayari wamezaa mtoto mmoja na wanatarajia kufunga ndoa mwaka huu.

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents