Burudani
Inama ya Diamond yamkuna mchezaji wa manchester Pogba, aimba Kiswahili – Video
Inama ya Diamond yamkuna mchezaji wa manchester Pogba, aimba Kiswahili - Video
Wimbo wa msanii kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliomshirikisha Fally Ipupa Inama umemkuna mchezaji wa Manchester United Pogba baada ya kuusikiliza na kuimba akiwa kwenye gari lake
By Ally Juma.