Burudani

J Cole akubali yaishe kwa Kendrick Lamar

Rapa na Producer J Cole ameomba radhi mbele ya mashabiki zake kupia ukurasa wake wa X zamani Twitter juu ya Tamasha lake (Dreamville Fest) kwa kujibu Disstrack ya Kendrick Lamar kupitia ngoma yake ya “7 Minute Drill” inayopatikana kwenye Album yake mpya ya Might Delete Later.

J Cole amekiri kuwa kurekodi wimbo wa kumdiss Kendrick Lamar ni jambo baya zaidi kuwahi kulifanya katika maisha yake na ngoma hiyo ataitoa kwenye Platform zote za Kustream muziki.

Bifu la wawili hao limeibuka baada ya Kendrick Lamar kumdiss J Cole na Drake kwenye ngoma ya “I Like that Collabo aliyofanya na Future, Metro Boomin.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents