Burudani

RECAP: Diamond ni tatizo Spotify (Video)

Bongofive kupitia kenye kipindi chake cha RECAP & MANDO El_Mando_tz ameizungumzia orodha ya Spotify ya Nyimbo zilizoangaliwa zaidi.

Katika orodha hiyo yenye nyimbo 10 zilizoangaliwa zaidi kwenye mtandao wa Spotify kutoka Tanzania Diamond ametokea katika nyimbo 8 kati ya 10.

El_mando_tz anasema his inaonyesha ni kwa namna gani Platnumz ameukamata muziki wa Bongo Fleva na ana power ya kufanya anachotaka.

Anaongeza kawa yeye anajiuliza maswali Mengi sana kwanini Diamond hapewi heshima yake na hamani yake anayostahili??

el_mando_tz anaongeza kuwa mbali ya kufanya makubwa kwenye muziki, Diamond ameshika maisha ya watu wengi sana, licha ya kufanya yote hayo kwanini jamii haimpi heshima na thamani anayostahili??

 

 

Kupata uchambuzi kamili angalia kwenye ukarasa wetu wa Youtube Bongo5:

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents