Judy Akitumbuiza Mzalendo Pub
Mwanamuziki Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ akitumbuiza siku ya ijumaa katika ukumbi wa Mzalendo Pub. hii anafanya kila ijumaa akiwa na Machozi bendi lakini siku nyingine huwa Machozi inapanda jukwaani hata bila ya kiongozi huyo wa Bendi.
Hii inatokana na mwanamuziki huyo kuwa na shughuli nyingi kwa sasa , hivyo anahitaji muda mwingi kwaajiri ya kuzifanya shughuli hizo ikiwa pamoja na kuandaa albamu yake nyingine
Jay Dee akitumbuiza kwa kucheza, katika usiku wa ijumaa pale Mzalendo Pub
Jay Dee akiwa na Mau Saniago wakitumbuiza usiku pale Mzalendo Pub siku ya Ijumaa.
Carolina na Bella wakiweka pozi kidogo, kufuatana na muziki, katika usiku wa Machozi pale Mzalendo Pub.
Carolina na Bella wakiimba kwa hisia na kunyoosha ishara za mikono
Mau Santiago akiwa na mwimbaji mwenzake wakitumbuiza kwa kucheza katika bendi ya Mchozi.
{hwdvideoshare}id=1481|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1482|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1483|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1484|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1485|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1486|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1487|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1488|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}
{hwdvideoshare}id=1489|width=400|height=300|tpl=playeronly{/hwdvideoshare}