Siasa
Katibu mkuu wa CCM Chongolo: CCM haitashiriki siasa za mtu kwa mtu piga nikupige (+ Video)
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amesema dhamira ya chama chake ni kuhakikisha kuwa haishiriki siasa za mtu kwa mtu, piga nikupige. Pia ameongelea kuhusu namna Serikali inavyoshughulikia masuala ya Rushwa.