Michezo

Majina 30 ya wachezaji wanaowania Ballon d’Or 2016

Wachezaji 30 wametajwa kuwania tuzo ya Ballon d’Or 2016 gazeti la soka la Ufaransa limetoa orodha hiyo katika makundi ya wachezaji watano kila baada ya saa mbili siku yote ya Jumatatu.

ballon-dor-2016

Tuzo hiyo hutolewa na Ufaransa kila mwaka tangu mwaka 1956, lakini kwa kipindi cha miaka sita iliopita tuzo hiyo ilibadilika na kuwa Fifa Ballon d’Or kwa ushirikiano na shirikisho la soka duniani Fifa.

Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi alishinda tuzo hiyo mwaka uliopita kwa mara ya tano.

Wachezaji waliorodheshwa ni:

Sergio Aguero (Manchester City)

Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund)

Gareth Bale (Real Madrid)

Gianluigi Buffon (Juventus)

Cristiano Ronaldo (Real Madrid)

Kevin De Bruyne (Manchester City)

Paulo Dybala (Juventus)

Diego Godin (Atlético Madrid)

Antoine Griezmann (Atlético Madrid)

Gonzalo Higuain (Juventus)

Zlatan Ibrahimovic (Manchester United)

Andrés Iniesta (Barcelona)

Koke (Atletico Madrid)

Toni Kroos (Real Madrid)

Robert Lewandowski (Bayern)

Hugo Lloris (Tottenham Hotspur)

Riyad Mahrez (Leicester City)

Lionel Messi (FC Barcelona)

Luka Modric (Real Madrid)

Thomas Muller (Bayern Munich)

Manuel Neuer (Bayern Munich)

Neymar (Barcelona)

Dimitri Payet (West Ham United)

Pepe (Real Madrid)

Paul Pogba (Manchester United)
Rui Patricio (Sporting CP)

Sergio Ramos (Real Madrid)

Luis Suarez (Barcelona)

Jamie Vardy (Leicester City)

Arturo Vidal (Bayern Munich)

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents