Michezo
Man Utd yaweka rekodi mpya
Man utd sasa wameitupa nje Liverpool mara 11 kwenye Kombe la FA, zaidi ya mpinzani mwingine yoyote kwenye michuano hiyo. Man utd bado haijapoteza mchezo wowote wa nyumbani wa FA dhidi ya Liverpool kwa zaidi ya miaka 100. Man Utd itakutana Coventry nusu fainali Wembley Studium.
Imeandikwa na Mbanga B.