Burudani

Mariah Carey kujiunga na msimu mpya wa Empire

Tamthilia ya Empire inazidi kuwakusanya mastaa watakaoonekana katika msimu mpya. Muimbaji Mariah Carey naye imethibitishwa kuwa ataonekana katika msimu wa pili.

HOLLYWOOD, CA - AUGUST 05:  Singer Mariah Carey is honored with Star on The Hollywood Walk of Fame on August 5, 2015 in Hollywood, California.  (Photo by Kevin Winter/Getty Images)

Lee Daniels, co – creator wa tamthilia hiyo alithibitisha habari hizo kwenye sherehe ya Walk Of Fame ya Mariah Carey Jumatano hii.

“ I love you with all my heart and am so proud of you. Watch her on Empire, you guys. She’s coming on Empire.” Alisema Daniels.

Msimu wa pili wa Empire utaanza kuoneshwa September, 2015.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents