Michezo
Matokeo ya mechi za Europa, Man U yachapwa ugenini
Michuano ya Ligi ya Europa iliendelea usiku wa November 3 kwa michezo kadhaa kupigwa, Manchester United imekubali kichapo cha 2-1 kutoka kwa wenyeji wao Fenerbahçe.
Athletic Bilbao ya Uhispania ikaichakaza KRC Genk ya Ubelgiji kwa bao 5-3 magoli yote ya Bilbao yakiwekwa kimiani na mshambuliaji Aritz Aduriz.
Matokeo ya michezo mingine