Michezo

Matokeo ya sare Simba dhidi ya Azam yaifaidisha Yanga

Timu ya Simba SC imelazimishwa sare ya bila kufungana na kalbu ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

SIMBA KIKOIS

Matokeo hayo inakuwa ni furaha kwa mahasimu wao, Yanga ambao sasa wanaongoza Ligi Kuu kwa wastani wa pointi sita kuelekea mechi nne za mwisho.

AZAM FC KIKOSI

Sare hiyo ya 0-0, Azam FC inafikisha pointi 59, wakati Simba sasa inakuwa na pointi 58, nyuma ya mabingwa watetezi, Yanga wenye pointi 65 baada ya timu zote kucheza mechi 26.

Mashabiki wa klabu ya Simba wanaonekana kuto ridhika na matokeo ya timu yao kwani walikuwa na matarajio ma kubwa ya ubingwa lakini sasa wanaonekana kukata tamaa na timu yao kuwashutumu baadhi ya viongozi wao kuwa waachie timu yao.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents