Burudani

Mbosso akabidhiwa hati ya nyumba, asema anawahamishia wazazi wake

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Mbosso amefunguka kuzungumzia nyumba ambazo walijengewa na Mkubwa Fella wakati yupo Yamoto Band. Nyumba hizo ni nne za wasanii wote ambao walikuwa Yamoto Band zipo Mbande Kisewe, Chamazi jijini Dar es salaam.

Akiongea katika kipindi cha The Playlist ya Times FM, Mbosso amesema nyumba yake kwa sasa ipo tayari na ameshakabidhiwa kila kitu kwaajili ya kuanza kuitumia kama nyumba yake.

“Nyumba ipo na Mkubwa ameshanikabidhi kila kitu na mwezi wa tisa nitawapeleka wazazi wangu wakakae huko mimi nibaki hapa mjini,” alisema Mbosso.

Muimbaji huyo mwenye nyimbo 6 toka ajiunge WCB, amesema kwa sasa maisha yake yamebadilika kwa kiasi kikubwa tofauti na awali.

Wiki iliyopita Mbosso pamoja na Lavalava walikabidhiwa magari na bosi wao Diamond Platnumz.

Related Articles

40 Comments

  1. Mnamrudisha yamoto tena…. Zile jengo za yamoto… Mbosso usilolijua usiku WA Giza ndio maana mavoko kajitosa pale…. Chunga langi ya tunda isikupendeze ukapata ndani ni mbovu… Majuto ni mjukuu….

  2. AfyanjemaTz Tumeanzisha Group La Whatsapp Kwa Lengo La Kushauliana Hususani Ktk Maswala Ya Kiafya,Namna Ya Kuwa Na Afya Njema,Tukihusisha Afya Ya Kuvurugika Kwa Mmeng’enyo Wachakula Kama Sababu Na Chanzo Cha Magonjwa Mengi Yasiyokuwa Ya Kuambukizika..

    Tukianza na swala la ulaji mbaya,Matokeo yake Ikiwa Nikuharibika kwa mifumo mingine ya mwili,Mfano;
    Mfumo Wa Mzunguko Wa Damu
    Mfumo Wa Homoni
    Mfumo Wa Upumuaji
    Mfumo Wa Ufahamu,Na Matatizo Yote Ya Saratani Na Viungo(joints),Uzito Uliyopitiliza,Magonjwa Ya Zinaa n.k..

    Hili Group Nikuajili Ya kushauliana Tu,Washiriki Umri Kuanzia Miaka 25++,Hatutaruhusu Lugha Chafu,Matangazo Ya Aina Yeyote,Video,Video Links au Post Yeyote Ile Isiyohusiana Na Afya Na Namna Ya Kuishi Kiafya…

    Tutashauliana Kula Chakula Bora,Kunywa Maji Ya Kutosha Na Kufanya Mazoezi kwa kufuata aina ya kundi lako la damu…

    Pia Tutakushauli Kutumia Virutubisho kama chakula mbadala ambavyo Nibora Zaidi Ili Kuimalisha Afya Yako..

    Ikumbukwe AfyanjemaTz Hatufanyi Kazi za Madaktari,Sisi Ni Washauli Wa Afya, Ila Tutashauliana na Wewe Na Kukutaka ukawaone Madaktari Pale Inapohitajika Utatuzi/Msaada Wa Kitabibu Zaidi..
    Tunaamin Umesoma Na Umeelewa Vyema Lengo La Group..

    Vilevile Unaweza Ukatusaidia Kushare Zaidi Ktk Group Zenye Mantiki Na Haiba Kama Yetu…..

    Kujiunga Na Group La AfyanjemaTz, Fungua Link HapoπŸ‘‡πŸΏπŸ‘‡πŸΏ
    https://chat.whatsapp.com/7R2QGhIE5TxHCQ7itSsTBR

  3. Ni sawa saw na wcb kwasabub alie MPa zawadi hiyo ni maneger wa wcb hakuyipata juu ya lundi lile la yamoto band ili tumaliz ubish harak kwa nin hakukabidhia enock bella ao aslay ima beka kwa sababu hawan ten relation ship na mkubw fella

  4. Kweli hawa jamaa ni matapeli wakubwa mwanamziki mjinga mjinga ndio awezi jua utapeli wao hizi ni zile nyumba mkubwa fella alisema anawajengea nyumbaa mtaa mmoja sasa leo amekuja kupewa mbosso Fanya kazi kuna siku ukiteleza tu utatolewa kama kuku

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents