BurudaniMahojiano

Mkubwa Fella atoa siri kwanini hakuna wasanii wengi wa level ya akina Diamond wengi kwenye muziki(Video)

Mshindi wa tuzo ya meneja bora wa muziki Afrika kupitia tuzo za Zikomo @mkubwafellatmk amefunguka kwa kueleza sababu ya kwanini hakuna wasanii wakubwa kumzidi @diamondplatnumz mpaka sasa.

Fella amedai siri ya mafanikio ni uwekezaji mkubwa ambao wamekuwa wakiufanya kwenye muziki na kudai hakuna msanii anaweza kufanya hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents