Burudani

Teaser: Alikiba aonjesha collabo yake mpya na Christian Bella ‘Nagharamia’ (Audio)

Alikiba a.k.a King Kiba na Christian Bella a.k.a mfalme wa masauti wamekuwa wakitoa ahadi ya kufanya collabo kwa muda mrefu, na mashabiki wamekuwa na shauku ya kusikia kile kilichofanywa na wakali hao kwa kuzingatia uwezo mkubwa walionao.

Kiba Bella

‘Nagharamia’ ndio jina la wimbo huo ambao unatarajiwa kutoka hivi karibuni. Alikiba ameshare kionjo kidogo cha wimbo huo kwenye Instagram.

Miezi kadhaa iliyopita Bella alisema kuwa kazi hiyo itakuwa na utofauti mkubwa kwasababu amembadilisha sana Alikiba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents