Burudani
New Video: Heri Muziki – Nakukumbukaga
Baada ya kuachia audio ya single yake mpya ‘Nakukumbukaga’, muimbaji wa R&B Heri Muziki ameachia video ya wimbo huo. Video hiyo imeongozwa na director Nick dizzo wa Fucus Film.