Rapper wa kike anayewakilisha label ya The Industry, Rosa Ree ameachia ngoma na video yake ya kwanza, One Time. Video ilifanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Justin Campos wa kampuni ya Gorilla Films.
https://www.youtube.com/watch?v=K6tVI9DfM2g