Michezo

Ole Gunnar Solskjaer aandika orodha ya majina haya matatu kutua Man United

Manchester United imeandaa orodha ya wachezaji watatu wanaowatarajia kuwasaini dirisha lijalo la usajili ambao ni Ousmane Dembele, Timo Werner na Moussa Dembele.

Image result for Manchester United 'draw up three-man shortlist with Ousmane Dembele, Timo Werner and Moussa Dembele all targets' for Ole Gunnar Solskjaer

‘The Red Devils’ imeandaa orodha hiyo ili kuziba nafasi ya nyota wake waliyomuuza Romelu Lukaku huku Alexis Sanchez wakimtoa kwa mkopo.

Manchester United have drawn up a three-man shortlist with Ousmane Dembele a target

Manchester United ikimuhitaji, Ousmane Dembele 

Meneja wa United, Ole Gunnar Solskjaer sasa amewachagua wacheaji hao watatu akiamini kuwa endapo akipata saini zao basi wanaweza kuipeleka timu hiyo katika ‘level nyingine’.  RB Leipzig forward and Germany international Timo Werner is also a target for the Red Devils

‘Forward wa klabu ya RB Leipzig Mjerumani, Timo Werner 

Kwabahati mbaya sana wachezaji ambao kocha, Ole Gunnar Solskjaer amewaorodhesha watahitaji dau nono ili kuweza kukubali kuangusha saini zao ndani ya Old Trafford hii ni kutokana na ubora waliyokuwanao.

Lyon striker Moussa Dembele has caught the eye after his fine form this season in Ligue 1

Mshambuliaji wa klabu ya Lyon, Moussa Dembele

Anthony Martial amekuwa nje tangu mwezi Agosti wakati Marcus Rashford na Mason Greenwood wakiwa bado hawajakuwa sawa katika ‘fitness’.

Mashetani hao wekundu wamekuwa wa mwisho miongoni mwa timu ambazo zimeonyesha nia ya kumsaini mchezaji, Martin Odegaard kwa mujibu wa ‘The Sun’.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents