Burudani

Picha: Chege na Temba watua Afrika Kusini kuandaa kazi mpya, wakutana na Justin Campos

Wasanii wa muziki kutoka TMK Wanume Family, Chege na Temba wametua nchini Afrika Kusini wiki hii kwa ajili ya maandalizi ya kazi yao mpya.
Temba na Justin Campos
Temba na Justin Campos

Wawili hao kila mmoja amepost picha katika mitandao wake wa kijamii zinazoonyesha wakifanya mazungumzo na director Justin Campos kutoka Gorilla Films.

Hivi karibuni mejena wa wasanii hao, Mkubwa Fela kupitia instagram aliandika:

Mh Temba na mtoto wa Mama Saidi Chege chiiiii walivyo ingia ingia south Africa asubuhi hii wameenda kujenga kazi wadau kwa pamoja tuijenge nchi yetu.

gg

sss

ssss

WhatsApp-Ima

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents