Picha

Picha: Feza Kessy, Nisher na Deddy waingia location kushoot video ya ‘Amani ya Moyo’

Mrembo Feza Kessy aliyeingia kwenye muziki, wiki hii ameingia location kufanya video ya wimbo wake wa kwanza ‘Amani ya Moyo’.

420720_464523300295901_1875112900_n

Video hiyo inaongozwa na muongozaji na mtayarishaji wa video mwenye makazi yake jijini Arusha, Nisher.

Katika video hiyo, mkali wa dancehall nchini Deddy ataonekana kumpa shavu Feza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents