Picha

Picha: Hutaamini mtoto wa Michael Jackson, Paris alivyokuwa mkubwa

Watoto wa kike wanakua haraka, ndiyo maana, Paris, mtoto wa Michael Jackson unaweza kumsahau.

paris
Paris (katikati) akiwa na washkaji

Paris mwenye miaka 17 sasa, anatarajia kufikisha miaka 18, April 3.

3211BC4B00000578-3486564-image-a-132_1457648789901

Paris ni mtoto pekee wa hayati Michael Jackson, na ana kaka yake mkubwa mwenye miaka 19, Prince Michael na mdogo wake mwenye miaka 14, Blanket (ambaye jina lake pia ni Prince Michael).

3211BC9F00000578-3486564-image-m-127_1457648460564

3211BA0900000578-3486564-image-m-130_1457648639280

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents