Burudani

Picha: KCee alipogeuka mhudumu wa ndege kwa kuvaa sare na kuhudumia abiria!

Pata picha unasafiri na ndege, na mhudumu anayekukaribisha mlangoni na kukuonesha pa kukaa ni Diamond ambaye pia baadaye anakuja kukuhudumia chakula na vinywaji wakati wa safari.

Kcee-7

Ndivyo ilivyokuwa Jumamosi ya Oct.24 pale mwimbaji wa Nigeria, Kcee alipogeuka kuwa mhudumu wa ndege kwa siku moja, ambapo alivaa sare za ‘cabin crew’ na kuhudumia abiria kwenye safari moja kama wafanyavyo wahudumu wengine.

Kcee-1

Mwimbaj huyo wa ‘Limpopo’ ambaye pia ameshirikiana na wasanii wa Bongo akiwemo Diamond na Shetta, ni ‘brand ambassador’ wa kampuni ya ndege ya Air Peace ya Nigeria, na alifanya hivyo kama sehemu ya majukumu yake ya ubalozi.

Kcee-10

Kcee-11

Kcee-12

Kcee-13

Kcee-9

Kcee-8

Kcee-6

Kcee-5

Kcee-4

Kcee-3

Kcee-2

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents