Picha

Picha: Lady Gaga atumbuiza jukwaani akiwa mtupu kabisa huko London weekend iliyopita

Lady Gaga anasifika kwa vituko vya mara kwa mara vinavyomfanya awe controversial sana, and this time around ameamua kufanya onesho akiwa uchi wa mnyama!..ndio nimesema uchi wa mnyama katika show ya G-A-Y huko London, Uingereza Ijumaa iliyopita.

gaga-1

Gaga (27) alipanda jukwaani akiwa amevalia vazi linalomfunika hadi miguu lakini wakati akiendelea kuperform ghafla akaanza kusaula taratibu kutokea juu hatimaye kulishusha vazi lote na kubaki mtupu.

gaga-6

gaga-4

gaga-3

gaga-5

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents