Burudani
Staa wa Uingereza afuata nyayo za Kim Kardashian (Picha +18)
Ustaa unakazi kubwa sana ambapo unaweza kukufanya ufanya jambo lolote ambalo hata huwezi kutegemea, hiyo ni kutokana na umaarufu uliokuwa nao.
Msanii na mwanamitindo maarufu wa Uingereza, Myleene Klass amefuata nyayo za mrembo Kim Kardashian kwa kupiga picha za utupu kwa ajili ya kutangaza uzinduzi wa DVD yake ya mazoezi ya viungo.