“Rais mwanamke tutamuweka madarakani mwaka 2025 -Rais Samia Suluhu

“Rais mwanamke tutamuweka madarakani mwaka 2025. Wameanza kutuchokoza kuandika kwenye vijigazeti kwamba Samia hatosimama, nani kawaambia?”-.

“Mtaendelea kusikia wanawake zaidi wanaingia kwenye serikali kwa sababu ninajua nisipofanya mimi, hakuna atakakuja kufanya… Tukianza hapa, atakayekuja kuvuruga huo mfumo, tutamsuta, kwa hiyo bora tuanze halafu waje waguse watuone sisi ni kina nani.”

Related Articles

Back to top button