Burudani

Rapper Cassper Nyovest wa Afrika Kusini apata deal la kihistoria

Rapper wa Afrika Kusini, Refiloe Phoolo maarufu kama Cassper Nyovest amesaini deal la ubalozi kubwa zaidi katika historia ya muziki nchini humo.

Rapper huyo amekuwa balozi wa mtandao wa MTN.

Taarifa hiyo imekuja siku chache kabla Cassper hajafanya show ya kihistoria itakayohudhuriwa na watu 20,000 na ambayo ameipa jina la Fill Up The Dome.

Producer na mtangazaji maarufu wa nchini humo Oskido amechangia kwa kiasi kikubwa kupewa deal hiyo kwa Cassper.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents