Uncategorized

Rasmi: Uchaguzi Mkuu Yanga kufanyika Aprili, dirisha la uchaguzi lafunguliwa upya, wanaotaka kugombea waombwa kujitokeza (+video)

Mwenyekiti wa baraza la wadhamini la klabu ya Yanga, George Mkuchika ametangaza kamati ya saba ya usimamizi wa timu hiyo kuhakikisha inashiriki michuano mbalimbali ambapo miongoni mwa watu waliotajwa ni pamoja na Mtangazaji wa michezo wa kutoka Radio EFM, Maulid Kitenge kama mjumbe, Mashauri Lucas akiwa mwenyekiti, Said Mtimizi, Ndama Hussein, Hussein Nyika na Moses Katabalo. Hao wamekabidhiwa timu kuhakikisha wanashiriki kwenye mashindano wakati huo huo, George Mkuchika ametangaza klabu hiyo kufanya uchaguzi wake Mkuu siku ya Jumapili ya tarehe 28 mwezi Aprili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents