Michezo

Shinji Kagawa asema haya kuhusu klabu yake ya Borussia Dortmund

Mchezaji wa klabu ya Borussia Dortmund, Shinji Kagawa ambaye ni raia wa Japani, amesema kwamba yeye hana mpango wa kuikacha klabu yake hiyo ya Borussia Dortmund.

kagawa-3_bvbnachrichtenbild_regular

Ametoa kauli hiyo alipoongea na waandishi wa habari ametoa msisitizo kwamba atafanya kila analoweza ili ahakikishe kuwa anakuwa mchezaji muhimu klabuni hapo na kuzidi kufanya vizuri.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents